AyoTV

VIDEO: Watendaji wa Halmashauri wadaiwa kuficha taarifa kwa kumuogopa Rais Magufuli

on

December 5 2016 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kwa baadhi ya maeneo nchini ambapo amesema ndani ya mwezi November mwaka huu wagonjwa 458 wameripotiwa kuugua, sita wamekufa kwa ugonjwa huo.

Aidha Waziri Mwalimu amesema baadhi ya halmashauri nchini zimekuwa zikificha taarifa za wagonjwa wa kipindupindu kwa kuogopa kuchukuliwa hatua na Rais Magufuli. 

VIDEO: Wagonjwa wa kipindupindu waongezeka, sita wamefariki ndani ya mwezi November mwaka huu, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments