Habari za Mastaa

Pierre “Yani treni ya umeme imewaka hiyooo, mwewe juu ya mwewe yamoto balaa” (+video)

on

Leo April 3, 2019 AyoTV na millardayo.com imempata Pierre Gumbo maarufu kwa jina la Liquid na hii ni baada ya kushika headlines Tanzania kwa siku ya Jumapili ambapo ameweka wazi ma-deal aliyoyapata katika kipindi hiki kifupi.

MAPENZI YA MENGI NA JACQULINE ETI! VIJANA MNAFELI WAPI / PIERRE GUMZO MTANDAONI

Soma na hizi

Tupia Comments