Mix

Unafahamu kuhusu hukumu ya Oscar Pistorius? Isome hapa.

on

PistoriusMwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius(27) ambaye amekutwa na kesi ya bila kukusudia yuko katika wakati mgumu baada ya kukutwa na hatia ya mauaji.

Kutokana na kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia mwishoni mwa wiki iliyopita, masaa machache kuanzia sasa, ndani ya mahakama ya the Palace of Justice iliyopo jijini Pretoria, Pistorious atasomewa hukumu.

Hukumu ambayo Pistorious atakabiliana nayo huenda ikawa kifungo kisichozidi miaka 15 jela, kulipa faini, ama kifungo maalum chini ya idara ya urekebishaji wa tabia, ambapo atakuwa akifanya shughuli za kijamii, au kifungo cha nje.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments