Habari za Mastaa

PICHA: Label ya Roc Nation ya Jay Z imemkaribisha rasmi Tiwa Savage

on

June 8 2016 headlines za msanii Tiwa Savage kutoka Nigeria katika record label ya Mavin inayomilikiwa na Don Jazzy kusaini katika record label ya rapper Jay Z ziliingia kwenye headlines, hiyo ni baada ya Don Jazzy na Tiwa Savage kupost picha ya pamoja katika account zao za instagram wakiwa na Jay Z na kuandika “Mavin x Roc Nation”.

3

Leo July 28 2016 label ya Roc Nation ya rapper Jay Z imemkaribisha rasmi Tiwa Savage katika label hiyo Tiwa Savage, sasa ni wazi kuwa Tiwa Savage amesaini katika label ya Jay Z, Roc Nation wamemkaribisha Tiwa Savage kwa kupost instagram picha yake ikimuonesha akisaini document ambazo zinaaminika kuwa ni mkataba wa kuingia label hiyo.

ASTEA

Hii ni picha iliyopostiwa na Tiwa Savage June 8

KAMA ULIIKOSA SABABU ZA JAY MOE KUFANYA VIDEO YA PESA MADAFU AFRIKA KUSINI

Soma na hizi

Tupia Comments