Top Stories

Paul Makonda na Mkewe wapata Mtoto wa kiume

on

Ni furaha na nderemo leo kwenye familia ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Mkewe baada ya wawili hawa kufanikiwa kupata Mtoto ambae na jina tayari ameshapewa, anaitwa Keagan P. Makonda.

Makonda amemshukuru Mungu kwa kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya Mtoto wa Kiume @ Keagan P Makonda”

VIDEO: KANGI LUGOLA AMPA IGP SIRRO SIKU 14 “NATAKA ANIAMBIE WAMESALIMU AMRI?” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

EXCLUSIVE: Baraka The Prince abadili dini, awa Muislamu

Soma na hizi

Tupia Comments