Top Stories

FULLL VIDEO: Tazara imenoga ishakamilika asilimia 90

on

Kama utakumbuka April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya uzinduzi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi October mwaka 2018. Ayo TV imefika na inakuletea video inayoonesha maeneo tofauti tofauti ya ujenzi huo yakiwa yamekamilika kwa asilimia 90.

Hii ndio Dodoma bwana, laki tisa tu unapata kiwanja

Soma na hizi

Tupia Comments