fB insta twitter

Imetajwa mitandao 15 ya kijamii yenye nguvu zaidi duniani

on

Inawezekana wewe ni mtumiaji wa Social Networks lakini haufahami ni kiasi gani mtandao unaoutumia nguvu, umeshawahi kujiuliza nyuma yake kuna nini kinaendelea? Leo nimeipata hii list ya mitandao 15 ya kijamii inayotajwa kuwa na nguvu zaidi na yenye watuamiaji wengi duniani. 

DreamGrow wametoa list ya mitandao 15 maarufu na yenye nguvu zaidi duniani kote pamoja na idadi ya watumiaji wake kwa idadi ya kila mwezi, huku data zake zikiwa zimetumia idadi halisi kutoka kwenye mitandao yenyewe. List hii imejumuisha mitandao yote mikubwa inayotumika sehemu nyingi duniani na ile ya Marekani pekee

Facebook imetajwa kuongoza kwenye list ikifuatiwa na Youtube, Instagram na Twitter. Hii ni FULL LIST ya mitandao yote 15.

VIDEO: Ulipitwa na Simu Ridhiwani alipigiwa na Mzee Kikwete? Bonyeza play hapa chini kufahamu

Soma na hizi

Tupia Comments