Mix

PICHA 15: Mvua ya jana Dar es salaam ilivyoharibu nyumba za Pugu Kigogo

on

Ni kutoka Pugu Kigogo Fresh Dar es salaam ambako mvua ya jana imesababisha uharibifu wa nyumba na shule kwa kung’oa Mabati na kulazimisha familia nyingine kuyaacha makazi yao kwa muda na kutoa vitu vya ndani.

 

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, bonyeza play hapa chini kufahamu kila kitu

UNAZITAKA ZOTE BREAKING NEWS NA MATUKIO YA HABARI, PICHA NA VIDEO ??? ungana na Reporter wako Millard Ayo kwenye mitandao yote ya kijamii na utapata yote yanayonifikia saa 24… BONYEZA HAPA >>> Twitter Facebook Instagram

Soma na hizi

Tupia Comments