Habari za Mastaa

Vipande vya video kutoka kwa @ommydimpoz aki-shoot video na akirekodi wimbo na @VICTORIA_KIMANI na @diamondplatnumz

on

pkpOmmy Dimpoz anaendelea kutoa picha na vipande vya video alipokuwa London aki-shoot video na director Moe Mussa.

Kwenye hii video unaweza kuona camera walizokuwa wanazitumia ku-shoot video hii, pia video mbili utawaona Ommy Dimpoz,Diamond na Victoria Kimani walivyokuwa wanarekodi wimbo wiki chache zilizopita.

 

 

Tupia Comments