Top Stories

Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo

on

Jumatano August 9, 2017 Rais Magufuli amefanya uteuzi kwa kumteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Prof. Wiliiam Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).

MWANZO MWISHO: Tazama kwenye video hii RC Makonda, Ruge na Wahariri walivyozungumza kwa pamoja na Waandishi…

ULIPITWA? Rais JPM ahutubia Tanga, kawakutanisha Ruge na Makonda…play kwenye video hii kutazama!!

Soma na hizi

Tupia Comments