AyoTV

Kauli ya Polisi baada ya Mbowe kutoripoti Polisi Jumatano iliyopita

on

Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro ameongea na Waandishi wa habari kuhusu ishu mbalimbali na mojawapo ni kuhusu Mwanasiasa maarufu Freeman Mbowe kutokwenda kituo cha Polisi Jumatano iliyopita kama ilivyotarajiwa.

Kamishna Sirro amesema Mwenyekiti huyo wa CHADEMA anahitajika kituo cha Polisi kati siku ya kesho Jumatatu February 20 2017, TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KWA MAELEZO ZAIDI

VIDEO: “Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani? – FREEMAN MBOWE….. mtazame akiongea mwenyewe kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments