Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Manji na Gwajima walivyondolewa kituo cha Polisi kati na alichosema Sirro
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Manji na Gwajima walivyondolewa kituo cha Polisi kati na alichosema Sirro
AyoTV

VIDEO: Manji na Gwajima walivyondolewa kituo cha Polisi kati na alichosema Sirro

February 9, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya Askofu Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga na Mfanyabiashara Yusuph Manji kuwasili kituo cha kati cha Polisi Dar es Salaam na kukaa zaidi ya saa zaidi ya 5, wameondolewa kwenye eneo hilo.

Gwajima na Manji wamepakizwa kwenye gari moja na kuelekea sehemu ambayo kamishina wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro hakutaka kuweka wazi lakini akawaambia Waandishi wa habari waliokua nje ya kituo kuwa taarifa rasmi atazitoa kesho Ijumaa ya February 10 2017,

Tazama kwenye hii video hapa chini walivyokua wakiondolewa kituoni hapo

VIDEO: Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda, mtazame kwenye hii video hapa chini

You Might Also Like

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

RPC geita anena ‘Vijana hawaendi Makanisani, Misikitini na kwenye mizimu’

#UNAAMBIWA:Mihailo Toloto mtawa na mwanaume pekee ambaye hajawahi kumuona mwanamke

Rais wa Afrika ya Kati kuitisha kura ya maoni kuhusu katiba mpya

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo February 9, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULL VIDEO: Wabunge walivyopitisha azimio la kuwaita bungeni Makonda na Mnyeti
Next Article BUNGENI: Maswali na majibu ya February 9 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?