Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Zari ametumia zaidi ya Tsh Milioni 6 kwaajili ya viatu vya watoto wake

on

Zari the boss lady siku kadhaa zilizopita alikuwa Dubai kwaajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki yake  Zowda Mkandila  akiwa katika matembezi Dubai, Zari aliamua kutumia zaidi ya Milioni 6 kwa ajili ya kuwanunulia watoto wake viatu aina ya Balenciaga.

Kiatu aina ya Balenciaga alichonunua Zari kwaajili ya watoto wake kinauzwa Dola 692 za Kimarekani ambapo ni zaidi ya shilingi Milioni  1.5 za Kitanzania kwa pair moja ya kiatu.

Kupitia Snapchat account ya Zari aliandika “Ni kwa ajili yangu na watoto wangu tutavivaa wote vikiwa vyeusi” hiyo ni baada ya Zari kununua viatu hivyo ndio akaamua kuvipost Snapchat.

Meneja wa Diamond kauliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments