Top Stories

Magufuli amvaa Kichere, amtajia makosa aliyofanya “Nitakutumbua tena” (+video)

on

Hizi ni nukuu kutoka kwa Rais Magufuli leo June 10, 2019 akitaja makosa ya aliekuwa Kamishna wa TRA Charles Kichere ambae amepelekwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Njombe “Kamishna ambaye umeondoka nimekutumia zaidi ya meseji 20 kwa sababu watu wengi wanapolalamika mimi ninampa taarifa wakati mwingine hadi saa nane usiku mimi ninatuma tu na yeye anasema nimepokea Mheshimiwa lakini ukifuatilia hamna kitu” 

“Utafikiri watu TRA wote hawakusoma kwa mambo yanayofanyika, nakuuliza kupata taarifa na wewe hujui unamgeukia mtu wa nyuma yako, nenda kajaribu kidogo hata URAS” Rais Magufuli

“KABUDI NA MPANGO NIMEWATUKANA PUMBAVU SANA JAPO WANANIZIDI UMRI” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments