Maajabu

Pale ambapo abiria wanalazimika kuisukuma ndege kwa mikono

on

Screen Shot 2014-11-27 at 10.12.12 AMHii ni moja kati ya story ambazo ni adimu kuzisikia na tumezoea kuona watu wakisukuma magari yakinasa lakini sio kwa ndege….

Sio rahisi kuamini hilo lakini imetokea kweli, abiria wa ndege huko Siberia walijikuta wakilazimika kuisukuma ndege hiyo kutokana na kunasa kwenye theluji kwenye uwanja wa ndege, theluji ambayo imetokana na baridi kali.

Baada ya abiria kuinasua ilianza safari kuelekea Krasnoyarsk ambapo ilifika salama, kama unahitaji kutazama jinsi ilivyokuwa unaweza kuplay hii video hapa chini.

Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments