Habari za Mastaa

Live kutoka ukumbini harusi ya Mchekeshaji MC Pilipili na Philomena (+video)

on

Leo ndio siku nyingine kubwa ya Mchekeshaji wa Tanzania MC Pilipili na Philomena ambao wamefunga ndoa leo mchana na sherehe ndio hii iko live inafanyika Mbezi Beach Dar es salaam, bonyeza play hapa chini kutazama

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments