Mix

VIDEO: Polisi DSM yasema kinachoendelea kwa Wema Sepetu na Tundu Lissu

on

Ishu kubwa sasa hivi Dar es salaam ni sakata la dawa za kulevya ambapo leo baada ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kutaja orodha ya awamu ya pili, Kamishna Simon Sirro wa kanda maalum ya Dar es salaam ameongea mbele ya Waandishi…. tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Awamu ya pili ya Paul Makonda akitaja wengine, ajibu kuhusu Wema Sepetu na Masogange, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments