AyoTV

VIDEO: Polisi DSM yaongea, Sirro ajibu ya Freeman Mbowe na Steve Nyerere

on

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo February 24  2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu ukamataji wa Watuhumiwa wa dawa za kulevya, utumiaji na usambaji wa dawa za hizo ambapo amesema watuhumiwa 257 wamekamatwa kuanzia February 16 2017 mpaka February 23 2017.

Pamoja na hayo Kamanda Sirro amejibu maswali ya waandishi likiwamo kuhusu kumshikilia Mchekeshaji Steve Nyerere ambapo amesema……>>> kama ameitwa atakuwa ameitwa na wapelelezi sijapata habari zake, kwa kuwa kuna timu inashughulika na mambo haya

Hii video hapa chini ina kila kitu alichosema Simon Sirro leo, bonyeza play tu kumtazama

Ulikosa? Nje ya Mahakama baada ya kesi ya Mbowe, Wema Sepetu pembeni, Bonyeza play hapa chini

VIDEO: “Unapotangaza mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani?” – FREEMAN MBOWE…… Full Video tazama hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments