Mix

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ampongeza T.I.D

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 8 2017 amesimama mbele ya Waandishi wa habari kwenye awamu ya pili ya ishu ya dawa za kulevya na kutaja watu mbalimbali wanaotakiwa kufika Polisi Ijumaa kwa ajili ya mahojiano kwa ishu za dawa za kulevya.

Wakati akitaja list hiyo, Paul Makonda ametumia time yake kumpongeza Mwimbaji wa bongofleva TID kwa kukiri kuwahi kutumia dawa za kulevya na kuomba msaada wa Serikali kusaidiwa kuachana na matumizi ya dawa izo.

Haya ndio aliyoyasema Makonda >>> “Asante kwa mtu kama T.I.D, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya na kuomba serikali kuwasaidia kuachana nazo

VIDEO: Walivyofikishwa Mahakamani T.I.D, Rachel, Petitman na wengine, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments