AyoTV

VIDEO: Waziri mkuu alivyowataja Diamond na Alphonce Simbu Bungeni

on

Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo February 10 2017 alisimama Bungeni Dodoma na kuzungumza kabla ya kuahirisha Bunge ambapo katika hotuba yake alitoa pongezi kwa Watanzania Diamond Platnumz na Mwanariadha Alphonce Simbu, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: “Tukienda kibabekibabe namna hii tutavuruga Nchi” – Spika Job Ndugai

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments