Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alipoalikwa kesho Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Alipoalikwa kesho Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda
Mix

Alipoalikwa kesho Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda

March 7, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Taarifa hii imetolewa na Idara ya habari maelezo Dar es salaam Tanzania ambayo iko chini ya Wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo na imeandaliwa na Mwandishi wa Idara hiyo Immaculate Makilika.

Taarifa ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 Mwaka huu katika uwanja wa Mwembeyanga Temeke Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, maadhimisho hayo yataongozwa na maandamano ya Wanawake na wadau mbalimbali na yataanzia katika Shule ya msingi Mabatini kuelekea viwanja vya Mwembeyanga.

Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu isemayo “Tanzania ya viwanda, Wanawake ndio msingi wa mabadiliko ya kiuchumi ikilenga kuikumbusha jamii kuhusu umuhimu wa kujenga mazingira wezeshi kwa Wanawake hasa kutambua mchango wao katika kuleta Maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla.

Maadhimisho hayo yataambatana na maonesho ya kazi za ujasiriamali yanayoendelea katika uwanja wa Mwembeyanga, ambapo Asasi za kiraia na vikundi mbalimbali vya Wanawake vitaonesha bidhaa zao.

ULIPITWA? Bonyeza play hapa chini kumtazama Ridhiwani Kikwete akiongea kuhusu simu aliyopigiwa na Baba yake Rais mstaafu Kikwete baada ya kuona picha yake aliyopiga na Edward Lowassa.

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Dar es salaam NEWS
Millard Ayo March 7, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Alichokiandika Mstaafu Jakaya Kikwete baada ya msiba kwenye familia yake
Next Article VIDEO: Baba anapotaka kutazama soka alafu Mama anapitapita tu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?