Habari za Mastaa

Alichoandika Paul Makonda baada ya Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela

on

Habari nyingine kubwa ya leo Tanzania ni kuhusu Mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa miaka miwili jela kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kupoteza maisha ya Mwigizaji mwenzake aliekua pia mpenzi wake Steven Kanumba.

Watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu wameonyesha hisia zao baada ya kupokea taarifa za hukumu hiyo ya Lulu ambapo mmoja wao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambae ameandika Kunayo nafasi kwenye kila situation, kuwa Imara Baba anakuja

BREAKING: LULU AKIPELEKWA GEREZANI… TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUONA

DIAMOND AMUANDIKIA LULU BAADA YA KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments