Mix

VIDEO: Ya RC Paul Makonda leo Dar es salaam… ni kwenye Tanzania ya viwanda

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo February 21 2017 amepokea eneo lenye hekari 1500 kwa mdau aliyejitolea ku-ssuport Watanzania kuendeleza nia ya Rais Magufuli ya Tanzania ya viwanda, hii video hapa chini ina kila kitu

ULIPITWA? Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments