Top Stories

Dakika tatu za Waziri Mkuu Majaliwa kwenye jukwaa la kiapo Dodoma mbele ya Rais Magufuli… (+Video)

on

Ile list ya uongozi utakaoendesha Serikali ya awamu ya tano Tanzania inayoongozwa na Rais Dk. Magufuli inaendelea kukamilika ambapo jana November 19 2015 jina la Waziri Mkuu mteule liliingia ndani ya Bunge Dodoma likiwa ndani ya bahasha tatu kutoka Ikulu.

VIDEO0044_0000004063

Aliyeteuliwa na kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa Kura za Wabunge ni Mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa… leo amekula kiapo na tayari ameingia kwenye historia ya kuwa Waziri Mkuu wa 11 Tanzania… video yake hii hapa kutoka SIMU. Tv.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments