AyoTV

VIDEO: Mpango mwingine wa RC Makonda kwa waathirika wa Dawa za Kulevya

on

March 15 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameadhimisha mwaka mmoja tangu kuteuliwa kwake na Rais John Magufuli kuwa  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo kwenye hotuba yake wakati anazungumza na wakazi wa jiji hilo amesema kuwa ana mpango mwingine mzuri kwa waathirika wa Dawa za Kulevya.

Najua kuwa kuna waathirika wengi wanapewa Dawa lakini wanaporudi nyumbani wanajikuta wanarudia tena matumizi ya Dawa za Kulevya, lakini tumepata mfadhili ambaye ni Mo Dewj na ametupa heka 3 kwa ajili ya kujenga  Center kwa ajili ya waathirika wa Dawa za Kulevya‘>>>Paul Makonda

Ulimiss hii “Fedha za dawa za kulevya zinaenda kukauka DSM”-Paul Makonda  itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments