AyoTV

VIDEO: Msanii JK comedian alivyowaigiza sauti wachekeshaji Pembe na Senga

on

JK Comedian nimsanii ambaye amebarikiwa kipaji cha kuweza kuigiza sauti za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Tanzania, leo katuonyesha ubora wake kwa kuziigiza sauti za wachekeshaji wa long time Pembe na Senga.

Ukimaliza kuitazama hii video unaweza kunisogezea comment yako hapo chini ukiniambia ni sauti ya nani JK Comedian ametisha nayo zaidi.

ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN ALIVYOIGIZA SAUTI ZA RAIS MAGUFULI NA JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments