Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Dr. Magufuli anaweza kumteua waziri mkuu kutoka chama cha upinzani ?!! jibu lake ninalo hapa
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Dr. Magufuli anaweza kumteua waziri mkuu kutoka chama cha upinzani ?!! jibu lake ninalo hapa
Top Stories

Dr. Magufuli anaweza kumteua waziri mkuu kutoka chama cha upinzani ?!! jibu lake ninalo hapa

November 10, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Kwenye countdown zenye headlines za siasa bado macho na masikio ya wengi yako kwenye maeneo machache sasa hivi, nani atateuliwa na Rais kuwa waziri mkuu Tanzania? nani spika wa Bunge TZ? inawezekana waziri mkuu akateuliwa toka chama cha upinzani?

tulia ackson
Dk.Tulia Ackson

Nimempata kwenye exclusive Dk.Tulia Ackson ambaye ni wakili wa serikali ambaye pia aliteuliwa kuwa Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali kwenye utawala wa Jakaya Kikwete, anayo majibu haya kuhusu uwezekano wa serikali ya Tanzania kuongozwa na Waziri Mkuu ambaye anatoka chama cha upinzani >>> ‘Sheria inamwezesha kufanya hivyo lakini Katiba imeweka Masharti kwamba Waziri Mkuu atoke wapi, hayo masharti yako matatu.

  1. Ni lazima Waziri Mkuu atoke katika Wabunge wa kuchaguliwa kutoka Majimboni.
  2. Ni lazima atoke chama chenye Wabunge wengi Bungeni, maana yake ni kwamba Rais akimteua Waziri Mkuu kutoka chama chenye Wabunge wengi ni lazima ataungwa mkono… lazima Waziri Mkuu aungwe mkono na Wabunge wengi.
  3. Ikitokea hakuna chama chenye Wabunge wengi Bungeni, Rais anaruhusiwa kuteua mtu yoyote ambaye ni Mbunge toka Bungeni.. awe ni Mbunge anayeungwa mkono na Wabunge wengi‘ >>> Dk.Tulia Ackson

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Wananchi wadai fidia ya Milioni 500 kwa Naibu Waziri wa Nishati

TAGGED: Rais Magufuli
Millard Ayo November 10, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines alivyoibeba tuzo yake kwa mara ya 9 mfululizo …..
Next Article Ni Joh Makini na AKA kwenye MTV na new video..!!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?