AyoTV

ISIKUPITE: HISTORIA ALIYOITOA MAMA YAKE HAJI MANARA TOKA ANAMZAA

on

January 27 2019 ni siku ya kihistoria kwa afisa habari wa Simba SC Haji Manara kwani alifanya Birthday Party yake na kuzindua perfume ‘De La Boss’ lakini taasisi yake ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi, katika uzinduzi huo mama mzazi wa Haji Manara anayefahamika kwa jina la Rahma Hassan Haji alikuwepo na alitoa historia ya tusioyajua kuhusu Haji Manara.

STEVE NYERERE AIBUKA KWA MANARA: ”MUACHE AJIPONGEZE KWA KIPIGO”

Soma na hizi

Tupia Comments