Michezo

Pogba akutwa na virusi vya corona

on

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amekutwa na virusi vya corona, kwa mujibu wa kocha Mfaransa Didier Deschamps

Mchezaji huyo mwenye miaka 27, atahitajika kujitenga na kumaanisha kwamba hatashiriki michuano ya Ligi ya Taifa la Ufaransa.

Mfaransa huyo alisafiri kwenda Sweden kushiriki michuano ya ufunguzi ya Timu ya Taifa Jumamosi, Septemba 5.

MTOTO ALIEFARIKI MWILI WAKE WAFUKULIWA VILIO, SIMANZI VYATANDA “WALIMUUA KIKATILI”

Soma na hizi

Tupia Comments