Michezo

Pogba aomba radhi kipigo cha jana

on

Kiungo wa Man United Paul Pogba ameomba radhi kwa wapenzi na mashabiki wa Man United kwa kitendo chake cha kucheza faulo ndani ya 18 na kusababisha penati iliyowafanya Arsenal waibuke na ushindi wa 1-0 Old Trafford.

“Baada ya kiwango kizuri dhidi ya RB Leipzig tumeshindwa kufanya vizuri leo, kucheza faulo kama ilee”>>> Pogba

Nilifikiria ningeugusa mpira lakini sikuugusa na imetugharimu, labda kwa kuwa nilikuwa nakimbia kwa kasi ikasabaisha kufanya kosa la kipumbavu”>>> Pogba VIA BBC.

Soma na hizi

Tupia Comments