Stori Kubwa

CCM yaongea kuhusu afya na alipo Mzee Kinana (+video)

on

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana hajaonekana hadharani kwa muda sasa hivi na hiyo imeacha maswali mengi ikiwa ni baada ya Rais Magufuli kusema kwamba anaumwa na yuko India.

Leo May 5 2017 kupitia AZAM NEWS katibu wa itakadi na Uenezi CCM taifa Hamphrey Polepole amezungumza kuhusu hali ya Mzee Kinana >>> ‘Tangu Mzee Kinana akiwa hata kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma hakuwa sawa kiafya’

Ilikubalika achukue muda wa kutosha kutazama afya yake nje ya nchi na Mgonjwa anaporejea kutoka hospitali huwa haingii kazini moja kwa moja huwa anashauriwa apumzike kuimarisha afya yake, jana nimezungumza nae yuko madhubuti kabisa’

Mtazame Polepole akizungumza kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena bungeni May 5 2017, kila kitu tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Flora Mbasha awajibu wanaosema kamzidi umri mume mpya, pia kuhusu kumualika Mume wa zamani kwenye harusi yake, BONYEZA PLYA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments