Top Stories

Polepole, Gwajima, Jerry Silaa wahojiwa Kamati ya Wabunge wa CCM (+video)

on

Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM imewaita kuwahoji Wabunge Jerry Silaa na Josephat Gwajima ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha kwa mikutano miwili kutokana na tuhuma za kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Mahojiano hayo yanafanyika Makao Makuu ya CCM, Dodoma, Wabunge wote wamefika na anayehojiwa muda huu ni Jerry Silaa.

Soma na hizi

Tupia Comments