Mix

Magari 10 ya kifahari yanayotumiwa na jeshi la Polisi kwenye nchi 4 duniani

on

Labda unaweza kudhani nchi maarufu kama Marekani inaweza kuwepo kwenye hii list, ukweli ni kwamba kwa mujibu wa ripoti ya Top10 Videos nchi hiyo haipo.

Wanasema tembea ujionee au tafuta uonyeshwe… millardayo.com inakukutanisha na nchi ambazo Jeshi la Polisi linatumia magari ya kifahari kupambana na Wahalifu ambapo nchi hizo chache ni Umoja wa falme za kiarabu kama Dubai na Abu Dhabi, Ujerumani, Australia na Italia

10

9

8

7

6

5

4

3

32

2

21

1

Umoja wa falme za kiarabu unaobeba falme za Dubai na Abu Dhabi ndio umeongoza kwa kuwa na magari mengi ya kifahari na kushika kuanzia namba tano mpaka namba moja huku pia namba 9 ikiwa ya kwao.

Haya ni magari ya kifahari ambayo tumezoea kuyaona kwenye video za Wasanii wa muziki duniani, unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini.

UMEIKOSA EXCLUSIVE YA SUMALEE TOKA ALIPOIACHA BONGOFLEVA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments