Habari za Mastaa

Polisi na Raia wakizungu wakiosha watu weusi miguu, kuwaomba msamaha

on

Hii imetokea huko North Carolina ambapo Polisi pamoja na raia wa kizungu wamewaosha miguu raia wenye asili ya kiafrika kama ishara ya kuwaomba msamaha kutokana na kile kinachoendelea kuhusu ubaguzi wa watu weusi.

TAZAMA MZEE ASUKUMWA NA POLISI ADONDOKEA KICHWA NA KUTOKWA DAMU MASIKIONI

Soma na hizi

Tupia Comments