Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP Ramadhan Kingai ametoa taarifa kuhusu mauaji yaliyotokea Sinza baada ya mtu aliyefahamika kwa jina la Alex Koroso kumsababishia kifo Gift Mushi ambaye ni Fundi magari maeneo ya Sinza.
Polisi wafichua siri mauaji ya Sinza ‘Anamiliki kihalali, Pombe ilimkaa’

Leave a comment
Leave a comment