Top Stories

Polisi wafyatua mabomu Singida, watu warusha mawe, RC afunguka (video+)

on

Jeshi la Polisi mkoani Singida limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wananchi waliokuwa wamechoma matairi barabarani.

Tukio hilo limetokea kufuatia msafara unaodaiwa kuwa wa BOT kumgonga Mwanafunzi na kupelekea kifo.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

 

Tupia Comments