Top Stories

Polisi wafyatua Mabomu ya machozi Karume DSM (video+)

on

Ni January 17, 2022 ambapo Soko la Karume Wafanyabiashara wameruhusiwa kuweka alama kwenye maeneo yao kwa ajili ya kujihakikishia usalama wa maeneo hayo wakati huu ambapo wanasubiria siku saba za ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa chanzo cha moto ulioteketeza soko hilo.

 

Tupia Comments