Top Stories

Polisi wataja sababu kumkamata Sheikh Ponda

on

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa, amewaambia waandishi wa habari kwamba Polisi wanaye Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda.

“Tunaye sisi Polisi, tumemkamata kwa Mahojiano ya Uchochezi walioutoa kwenye kitu walichokiita Waraka, tunamhoji kutokana na ule Waraka” Mambosasa

“Yeye kakubali kwamba ni wake na Taasisi yake lakini Viongozi wote wa Taasisi wameukana kupitia Vituo mbalimbali vya radio na TV. Hivyo tunazidi kumshikilia” Mambosasa

Via: JF

TAZAMA JINSI LOWASSA NA LIPUMBA WALIVYOINGIA MKUTANO WA CCM NA KUZUNGUMZA, WAMKUBALI JPM

Soma na hizi

Tupia Comments