Top Stories

Polisi watoa onyo kwa wanaofumania na kupiga “tunawatafuta” (Video+)

on

Jeshi la Polisi kupitia kwa Msemaji wake wa David Misime ametoa onyo kwa wale wanaojichukulia sheria mkononi kwenye matukio mbalimbali ikiwemo lililotokea Kongowe Dar es Salaam la Fumanizi nakupelekea watu kupigwa ambapo amesema watu hao wameshakamatwa pia Jeshi hilo limezungumzia tukio la kijana aliyedaiwa kuiba nakufungwa kwenye pikipiki nakuburuzwa hadi kupoteza maisha.

“Jeshi letu la Polisi linaendelea kutoa Elimu mbalimbali kwa jamii lakini leo hii ningependa kuzungumza kwa uhalifu ambao umeanza kuonekana kwa baadhi ya watu kujichukua sheria mikono naomba nivitaje ili Wananchi waache kujichukulia Sheria mikono kwani ni jambo la aibu sana”- Jeshi la Polisi

MBUNGE MUNDE AMVAA POLEPOLE “WASTAAFU MKAE KIMYA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments