Top Stories

Polisi yawakamata Waandishi wa habari kisa kumfuatili mgonjwa wa Corona (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limekiri kuwakamata Waandishi wa habari watatu waliokwenda katika eneo la hoteli ambayo alilala mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa wa Corona Virus.

Baada ya kuachiwa miongoni mwa Mwandishi aliyekuwa eneo hilo amekiri ni kweli alifuatwa na magari mawili ya Polisi nakuambiwa hana kibali cha kufanya hivyo.

WASIOJULIKANA WAIPA HASARA YA ZAIDI YA MILIONI 10 TANESCO

Soma na hizi

Tupia Comments