Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Akamatwa baada ya kubaini amemuoa binti ambae alitakiwa aanze kidato cha kwanza
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Akamatwa baada ya kubaini amemuoa binti ambae alitakiwa aanze kidato cha kwanza
Top Stories

Akamatwa baada ya kubaini amemuoa binti ambae alitakiwa aanze kidato cha kwanza

January 24, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Hashim Komba @hashim_komba akiwa na Viongozi wengine kwenye msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule wamefanikisha kukamatwa kwa Shaibu Halid Makunda (28) baada ya kubaini amemuoa Binti mwenye umri wa miaka 17 ambaye alitakiwa aanze kidato cha Kwanza January hii na hajaripoti Shule.

DC Komba amesema Binti huyo amefaulu masomo yake vizuri na amechaguliwa kwenda Shule ya Sekondari Farm 17 iliyopo Wilayani humo lakini hajaripoti Shule kwakuwa ameolewa, sasa Kijana huyo atapandishwa Mahakamani na Wazazi wa Mtoto huyo wanatafutwa kwa kuruhusu Mtoto wao aolewe.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 24, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ahukumiwa kifungo cha miaka 30, kosa kumbaka mdogo wake, Polisi watoa tamko
Next Article Dully Sykes ametuletea video mpya ‘Muntata’ itazame hapa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?