Top Stories

Je wanawake wanafaidika na huduma za kifedha kufikia ndoto zao?

on

Ripoti ya Finscope Tanzania inaonyesha asilimia 25 ya wanawake nchini hukopa kwenye vikundi vya kuweka na kukopa (VICOBA). Mtazame Dada Tunty William, mfanyabiashara wa sharubati/juice akieleza alipotoka mpaka alipo sasa. Bonyeza PLAY kwenye video hapa chini kutazama full story ya Tunty.


MABORESHO ZIWA VICTORIA YANAYOFANYWA NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments