Ajali

VIDEO: Idadi ya vifo kwenye tetemeko la ardhi Bukoba yaongezeka

on

Idadi ya vifo vya watu kwenye tetemeko lilitokea Kagera inazidi kuongezeka ambapo Kamanda wa polisi Kagera Augustine Olomi ametaja kuwa imefikia vifo vya watu nane na majeruhi zaidi ya 100.

>>>’Taarifa ya vifo vipatavyo vinane hadi sasa hivi na majeruhi kadhaa wanakwenda zaidi ya 100, lakini kutokana na hii taharuki jeshi la polisi tumejipanga kuzuia wale watu wanaotaka kupora mali za watu’:-Kamanda wa polisi Kagera

AyoTV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia taarifa zaidi na utaendelea kuzipata kadri zinavyonifikia.

ULIKOSA ALICHOKIZUNGUMZA DC BUKOBA KUHUSU TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments