Top Stories

Postikodi kuanza kutumika Tanzania “Huna haja ya kwenda Posta” (video+)

on

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt.Ashatu Kijaji amesema Serikali imetenga shilingi Bilioni 45 za kutekeleza mpango wa anwani za makazi na postikodi Nchini kwa kujenga miundombinu ya anwani hizo kwenye Halamshauri, Waziri Kijaji ameyasema haya Mkoani Mwanza akiendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi na ofisi mbalimbali za kiserikali kujiridhisha na utendaji kazi wa mifumo ya TEHAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments