Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichokisema Jacqueline Wolper kuhusu kuendelea kufanya kazi na WCB
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Alichokisema Jacqueline Wolper kuhusu kuendelea kufanya kazi na WCB
Habari za Mastaa

Alichokisema Jacqueline Wolper kuhusu kuendelea kufanya kazi na WCB

May 15, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

May 15, 2017 Kupitia U-heard Muigizaji staa wa Bongo Movie Jacqueline Wolper ambaye alikuwa mapenzini na mwimbaji star Harmonize  kutoka WCB amefunguka juu ya kuendelea kufanya kazi na WCB licha ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Harmonize.

Soudy Brown alipiga story na Wolper kutaka kujua ukweli wa madai hayo: “Mnajua, Wasafi nilijuana nao kabla yake. Kwa hiyo, ni kama ndugu zangu sasa hivi. Siwezi kuwa nao mbali, nikiwa na issue yangu, wanafanya na wakiwa na issue yao nitafanya.

“Soudy, ulishasikia namuongelea huyu mtu kwa lolote? Yeye ameshaongea, mimi siwezi kumuongelea mtu ambaye hayupo kwenye maisha yangu wala hatokuwa kwenye maisha yangu. Sitaki kumuongelea huyo mtu kabisa.” – Jacqueline Wolper.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full video…

Harmonize kaongea ukweli kuhusu yeye na Wolper

EXCLUSIVE: Mesen Selekta afunguka kuhusu Singeli, beef na Man Fongo, na mengine

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews, U Heard
Victor Kileo TZA May 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ushawishi wa mke wa star ulivyomtoa Alikiba kwenye Soka hadi kuimba
Next Article VIDEO: Swali la Nape Nnauye kwa Serikali Bungeni May 15, 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?