Top Stories

Kutoka Bukoba nyumbani kwa Babu yake Ruge Mutahaba, Kagera atakapozikwa (+video)

on

Leo February 27, 2019 AyoTV na millardayo.com imefika eneo la Kiziru Wilaya ya Bukoba ambapo ni nyumbani kwa Baba yake Marehemu Ruge Mutahaba na kuongea na watu wa hapo. Kwa mujibu wa ratiba Kagera ndipo atakapozikwa Ruge.

HISTORIA YA RUGE MUTAHABA, KUZALIWA, MASOMO HADI KUWA MKOMBOZI WA VIJANA

Soma na hizi

Tupia Comments