Mali za Mastaa

“Simjui Peter, Casto hakumzika mwanae.. Muna amefanya vizuri” –MC PILIPILI (+video)

on

MC Pilipili amekaa kwenye EXCLUSIVE na AyoTV Dodoma na kuzungumzia tukio la Muna Love kuita Waandishi wa habari nyumbani kwake Dar es salaam leo na kuelezea ukweli kuhusu Baba mzazi wa mtoto Patrick aliyefariki akiwa kwenye matibabu Kenya.

VIDEO: TAZAMA MUNA LOVE ALIVYOFUNGUKA YOTE A TO Z “ATHIBITISHA CASTO NDIO BABA WA PATRICK” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments