Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

“Rais alishaelekeza, tuache kufanya kazi kwa mazoea, natoa miezi sita”-Waziri Jafo

on

Serikali imeanza ujenzi wa hosipitali ya Uhuru ambayo iliagizwa kujengwa na Rais John Magufuli kwa kutumia fedha zilizokuwa zitumike katika  sherehe za uhuru mwaka 2018, ujenzi huo umeanza katika Wilayani Chamwino mkoani Dodoma ambapo Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo akitoa miezi sita kwa wakandarasi kuhakikisha ujenzi huo uwe umekamilika.

Rais Magufuli aliagiza kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 995 zilizokuwa zifanyiwe sherehe za uhuru mwaka 2018 kujenga hosipitali hiyo sambamba na fedha za gawio la Serikali zilizotolewa na kampuni ya mtandao wa Airtel.

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA NYUMBA ZA POLISI GEITA

Soma na hizi

Tupia Comments