Duniani

Mambo ya good music mtu wangu, mjamzito kasahau uchungu kajiachia kudance.. +(Video)

on

Unaweza ukahisi hiki kipande cha video kimetengenezwa na hakina ukweli wowote kwamba mama anayecheza sio mjamzito, manesi wamefanya uthibitisho kwamba mama alikuwa mjamzito na alijifungua mtoto wa kike saa chache baada ya kumaliza kudance !!

Mama na ujauzito wake alionesha kwamba japo kabakiza saa chache kujifungua bado yuko fiti… alijiachia kudance akiwa ndani ya Jengo la Hospitali Georgia Marekani, na saa chache baadae akajifungua salama kabisa mtoto wa kike.

Hiki ndio kipande cha video ya mwanamke huyo akidance wimbo wa Whip/Nae Nae.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? Kama unatumia Mtandao wa tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments