Davido ni mmoja ya wasanii wa Afrika ambao wamekubalika kwa nguvu kubwa sana na fans wa muziki, sio kwa uzuri wa ngoma za peke yake ila hata ukiangalia list ya collabo kali alizowahi kufanya na mastaa wengine ikiwemo ‘Gallardo’ ya Run Town, ‘Shoki’ ya Kash, ‘My Number One Rmx’ ya Diamond Platnumz, ‘Daddy’ ya Reminisce, hizo ni chache kati ya zile nyingi kali.
Hii ni mpya ya staa mwingine kutoka Nigeria, anaitwa Presh ft. Davido wimbo unaitwa ‘Say Dem Say’, Director ni Sesan na kazi yote imefanywa kwenye jumba la Dilly, CEO wa Eric Many Entertainment, Lagos Nigeria.
Icheki hapa mtu wangu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook